Kukusaidia kupata
maelezo  & huduma za Kodi

Tuambie machache kukuhusu

Kwa nini uwe na PIN ya KRA?

Kuwasilisha kwa Kodi

Tazama baadhi ya majukumu ya kodi ambayo yanakuhitaji uwe na PIN unapowasilisha na kulipa kodi.

Kufanya Miamala

Sheria inahitaji uwe na PIN ya KRA unapofanya miamala fulani. Hizi ni pamoja na; kununua na kuuza ardhi, kuagiza bidhaa kutoka nje, kusajili biashara na mengine mengi.