Taratibu za Uwekezaji nchini Kenya

Mamlaka ya Uwekezaji nchini (KenInvest) imepewa jukumu la kukuza uwekezaji nchini Kenya. KenInvest ina jukumu la kuwezesha utekelezaji wa miradi mipya ya uwekezaji, kutoa huduma za After Care kwa uwekezaji mpya na uliopo, na pia kuandaa shughuli za kukuza uwekezaji ndani na nje ya nchi.


UWEKEZAJI NCHINI KENYA 12/07/2019


💬
Taratibu za Uwekezaji nchini Kenya