A A A
en EN sw SW

Kuhusu KRA

Sisi
ni Nani

Mamlaka ya Mapato, Kenya, ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge, Sura ya 469 ya sheria za Kenya, ambayo ilianza kutumika tarehe 1 Julai 1995. KRA inajukumu la kukusanya ushuru kwa niaba ya serikali ya Kenya

Majukumu ya msingi ya Mamlaka ni:-

  • Kutathmini,Kukusanya na kuwajibika kwa ushuru kwa mujibu wa sheria zilizoandikwa na Masharti maalum ya sheria zilizoandikwa.
  • Kushauri juu ya maswala yanayohusiana na usimamizi, na ukusanyaji wa mapato chini ya sheria zilizoandikwa au masharti maalum ya sheria zilizoandikwa.
  • Kutekeleza majukumu mengine yanayohusiana na ushuru kama waziri atakavyoelekeza. 

Majukumu yetu ya Kimsingi

Ukusanyaji wa Ushuru

Uwezeshaji wa Biashara

Udhibiti wa mipaka

Dira, Dhamira na Maadili

Dira

Mamlaka inayoaminika kimataifa kuwezesha utiifu wa kodi na forodha.

Dhamira

Kuimarisha uhamasishaji wa mapato ya Serikali na kuwezesha ukuaji wa shughuli za kiuchumi na biashara kwa kuhakikisha uzingatiaji wa sheria za kodi na forodha.

Maadili

Anayeaminika, Mwenye Maadili, Mwenye Uwezo, Mwenye Msaada, Rahisi

Safari yetu

💬
Kuhusu KRA